-
1 Mambo ya Nyakati 27:16Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
16 Hawa ndio waliokuwa viongozi wa makabila ya Israeli: Wa kabila la Rubeni, Eliezeri mwana wa Zikri; wa kabila la Simeoni, Shefatia mwana wa Maaka;
-