-
2 Mambo ya Nyakati 1:17Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
17 Kila gari kutoka Misri lilinunuliwa kwa vipande 600 vya fedha, na farasi alinunuliwa kwa vipande 150; kisha waliwauzia wafalme wote wa Wahiti na wafalme wa Siria.
-