-
2 Mambo ya Nyakati 2:11Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
11 Ndipo Hiramu mfalme wa Tiro akatuma barua hii kwa Sulemani: “Kwa sababu Yehova anawapenda watu wake, amekuweka kuwa mfalme wao.”
-