-
2 Mambo ya Nyakati 3:12Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
12 Na bawa moja la kerubi wa pili lilikuwa na urefu wa mikono mitano nalo liligusa ukuta wa nyumba, na bawa la pili lilikuwa na urefu wa mikono mitano nalo liligusa bawa moja la yule kerubi wa kwanza.
-