2 Mambo ya Nyakati 6:5 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 5 ‘Kuanzia siku niliyowatoa watu wangu nchini Misri, sijachagua jiji katika makabila yote ya Israeli na kujenga humo nyumba ili jina langu likae humo,+ nami sijamchagua mwanamume atakayekuwa kiongozi wa watu wangu Waisraeli.
5 ‘Kuanzia siku niliyowatoa watu wangu nchini Misri, sijachagua jiji katika makabila yote ya Israeli na kujenga humo nyumba ili jina langu likae humo,+ nami sijamchagua mwanamume atakayekuwa kiongozi wa watu wangu Waisraeli.