-
2 Mambo ya Nyakati 10:6Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
6 Kisha Mfalme Rehoboamu akashauriana na wanaume wazee waliomtumikia Sulemani baba yake alipokuwa hai, akawauliza: “Mnanishauri niwape jibu gani watu hawa?”
-