-
2 Mambo ya Nyakati 10:11Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
11 Baba yangu aliwatwika nira nzito, lakini mimi nitazidisha uzito wa nira yenu. Baba yangu aliwaadhibu kwa mijeledi, lakini mimi nitawaadhibu kwa mijeledi yenye miiba.’”
-