-
2 Mambo ya Nyakati 10:14Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
14 Akawajibu kama alivyoshauriwa na vijana wa rika lake, na kusema: “Nitafanya nira yenu iwe nzito zaidi, nami nitazidisha uzito wake. Baba yangu aliwaadhibu kwa mijeledi, lakini mimi nitawaadhibu kwa mijeledi yenye miiba.”
-