-
2 Mambo ya Nyakati 10:16Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
16 Waisraeli wote walipoona kwamba mfalme amekataa kuwasikiliza, wakamwambia hivi mfalme: “Tuna ushirika gani na Daudi? Hatuna urithi wowote katika mwana wa Yese. Kila mtu aende kwa miungu yake, enyi Waisraeli! Sasa itunze nyumba yako mwenyewe, Ee Daudi.”+ Ndipo Waisraeli wote wakarudi katika nyumba zao.*+
-