-
2 Mambo ya Nyakati 11:17Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
17 Kwa miaka mitatu waliuimarisha ufalme wa Yuda na kumuunga mkono Rehoboamu mwana wa Sulemani, kwa maana walitembea katika njia ya Daudi na Sulemani kwa miaka mitatu.
-