-
2 Mambo ya Nyakati 18:5Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
5 Kwa hiyo mfalme wa Israeli akawakusanya pamoja manabii, wanaume 400, akawauliza: “Je, twende kupigana vita dhidi ya Ramothi-gileadi, au nisiende?” Wakasema: “Panda uende, na Mungu wa kweli atalitia jiji hilo mikononi mwako mfalme.”
-