-
2 Mambo ya Nyakati 18:14Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
14 Kisha akaingia kwa mfalme, naye mfalme akamuuliza: “Mikaya, je, twende kupigana vita dhidi ya Ramothi-gileadi, au nisiende?” Mara moja akajibu: “Panda uende nawe utafanikiwa; watatiwa mikononi mwako.”
-