- 
	                        
            
            2 Mambo ya Nyakati 18:29Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
 - 
                            
- 
                                        
29 Ndipo mfalme wa Israeli akamwambia Yehoshafati: “Nitabadili sura yangu na kuingia vitani, lakini wewe vaa mavazi yako ya kifalme.” Kwa hiyo mfalme wa Israeli akabadili sura yake, nao wakaingia vitani.
 
 -