-
2 Mambo ya Nyakati 18:30Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
30 Sasa mfalme wa Siria alikuwa amewaagiza hivi makamanda wake wa magari ya vita: “Msipigane na yeyote, mdogo au mkubwa, isipokuwa mfalme wa Israeli.”
-