-
2 Mambo ya Nyakati 19:10Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
10 Kila mara ndugu zenu wanaoishi katika majiji yao wakiwaletea kesi inayohusu umwagaji wa damu+ au swali kuhusu sheria fulani, amri, masharti, au maamuzi, mnapaswa kuwaonya ili wasiwe na hatia mbele za Yehova; msipofanya hivyo ghadhabu yake itakuja dhidi yenu na dhidi ya ndugu zenu. Hivyo ndivyo mnavyopaswa kufanya ili msiwe na hatia.
-