-
2 Mambo ya Nyakati 23:10Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
10 Halafu akawaweka watu wote, kila mmoja akiwa na silaha yake mkononi, kuanzia upande wa kulia wa nyumba mpaka upande wa kushoto wa nyumba, kando ya madhabahu na kando ya nyumba hiyo, kumzunguka mfalme pande zote.
-