-
2 Mambo ya Nyakati 23:13Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
13 Kisha akamwona mfalme akiwa amesimama hapo karibu na nguzo ya mfalme karibu na lango. Wakuu+ na wapiga tarumbeta walikuwa na mfalme, na watu wote nchini walikuwa wakishangilia+ na kupiga tarumbeta, na waimbaji wakiwa na ala za muziki waliongoza katika kutoa sifa.* Ndipo Athalia akayararua mavazi yake na kupaza sauti: “Ni njama! Ni njama!”
-