-
2 Mambo ya Nyakati 23:14Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
14 Lakini kuhani Yehoyada akawatoa nje wakuu wa mamia, wale waliowekwa kulisimamia jeshi, akawaambia: “Mwondoeni miongoni mwa vikosi, na yeyote akimfuata, muueni kwa upanga!” Kwa maana kuhani alikuwa amesema: “Msimuue ndani ya nyumba ya Yehova.”
-