-
2 Mambo ya Nyakati 24:11Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
11 Kila mara Walawi walipoleta sanduku hilo ili mfalme akabidhiwe, na maofisa walipoona kwamba kulikuwa na pesa nyingi ndani yake, mwandishi wa mfalme na mwakilishi wa kuhani mkuu walikuja na kuzitoa pesa sandukuni,+ kisha walilirudisha mahali pake. Hivyo ndivyo walivyofanya siku baada ya siku, nao walikusanya pesa nyingi.
-