-
2 Mambo ya Nyakati 25:12Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
12 Na wanaume wa Yuda wakawateka watu 10,000 wakiwa hai. Wakawapandisha juu ya mwamba na kuwatupa chini kutoka kwenye mwamba huo, na wote wakavunjika vipandevipande.
-