-
2 Mambo ya Nyakati 26:20Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
20 Azaria mkuu wa makuhani na makuhani wote walipogeuka na kumtazama, waliona kwamba alikuwa amepigwa na ukoma kwenye paji la uso! Kwa hiyo wakamtoa humo haraka, naye mwenyewe akatoka nje haraka, kwa sababu Yehova alikuwa amemletea pigo.
-