-
2 Mambo ya Nyakati 28:12Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
12 Ndipo baadhi ya wakuu wa Waefraimu, Azaria mwana wa Yehohanani, Berekia mwana wa Meshilemothi, Yehizkia mwana wa Shalumu, na Amasa mwana wa Hadlai, wakawakabili watu waliokuwa wakitoka vitani,
-