22 Kisha wakawachinja ng’ombe hao,+ na makuhani wakachukua damu yao na kuinyunyiza kwenye madhabahu;+ halafu wakawachinja wale kondoo dume na kunyunyiza damu yao kwenye madhabahu, kisha wakawachinja wanakondoo dume hao na kunyunyiza damu yao kwenye madhabahu.