2 Mambo ya Nyakati 32:14 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 14 Ni mungu gani kati ya miungu yote ya mataifa hayo ambayo mababu zangu waliiangamiza aliyeweza kuwaokoa watu wake kutoka mikononi mwangu, hivi kwamba Mungu wenu aweze kuwaokoa ninyi kutoka mikononi mwangu?+
14 Ni mungu gani kati ya miungu yote ya mataifa hayo ambayo mababu zangu waliiangamiza aliyeweza kuwaokoa watu wake kutoka mikononi mwangu, hivi kwamba Mungu wenu aweze kuwaokoa ninyi kutoka mikononi mwangu?+