-
2 Mambo ya Nyakati 32:28Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
28 Alijenga pia maghala ya mazao ya nafaka na divai mpya na mafuta, na pia mabanda kwa ajili ya mifugo ya kila aina na mabanda kwa ajili ya kondoo na mbuzi.
-