2 Mambo ya Nyakati 32:33 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 33 Kisha Hezekia akafa na kuzikwa pamoja na mababu zake kwenye njia inayopanda kuelekea kwenye makaburi ya wana wa Daudi;+ na watu wote wa Yuda na wakaaji wa Yerusalemu wakamheshimu alipokufa. Na Manase mwanawe akawa mfalme baada yake.
33 Kisha Hezekia akafa na kuzikwa pamoja na mababu zake kwenye njia inayopanda kuelekea kwenye makaburi ya wana wa Daudi;+ na watu wote wa Yuda na wakaaji wa Yerusalemu wakamheshimu alipokufa. Na Manase mwanawe akawa mfalme baada yake.