-
2 Mambo ya Nyakati 34:15Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
15 Kwa hiyo Hilkia akamwambia mwandishi Shafani: “Nimepata kitabu cha Sheria katika nyumba ya Yehova.” Basi Hilkia akampa Shafani kitabu hicho.
-