-
2 Mambo ya Nyakati 35:21Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
21 Kwa hiyo akamtumia Yosia wajumbe, akisema: “Vita hivi vinakuhusuje, Ee mfalme wa Yuda? Sijaja kupigana nawe leo, nimekuja kupigana na nyumba nyingine, na Mungu anasema kwamba ninapaswa kufanya haraka. Kwa faida yako mwenyewe, acha kumpinga Mungu, aliye pamoja nami, la sivyo atakuangamiza.”
-