-
Ezra 3:13Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
13 Hivyo watu hawakuweza kutofautisha kati ya sauti ya kushangilia na ya kulia, kwa maana watu walikuwa wakipaza sauti kubwa hivi kwamba sauti hiyo ikasikika mbali sana.
-