Ezra 4:14 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 14 Na kwa kuwa sisi hula chumvi ya jumba la mfalme* na si vema kwetu kuona masilahi ya mfalme yakiathiriwa, ndiyo sababu tumetuma barua ili kumjulisha mfalme jambo hilo,
14 Na kwa kuwa sisi hula chumvi ya jumba la mfalme* na si vema kwetu kuona masilahi ya mfalme yakiathiriwa, ndiyo sababu tumetuma barua ili kumjulisha mfalme jambo hilo,