-
Ezra 5:6Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
6 Hii ndiyo nakala ya barua ambayo Tatenai gavana wa eneo lililo Ng’ambo ya Mto na Shethar-bozenai na wenzake, magavana wadogo wa eneo lililo Ng’ambo ya Mto, walimtumia Mfalme Dario;
-