Ezra 8:15 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 15 Nikawakusanya kwenye mto unaoelekea Ahava;+ nasi tukapiga kambi hapo siku tatu. Lakini nilipowakagua watu na makuhani, sikupata Mlawi hata mmoja.
15 Nikawakusanya kwenye mto unaoelekea Ahava;+ nasi tukapiga kambi hapo siku tatu. Lakini nilipowakagua watu na makuhani, sikupata Mlawi hata mmoja.