-
Ezra 9:3Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
3 Mara tu niliposikia jambo hilo, nikalirarua vazi langu na joho langu lisilo na mikono na kung’oa baadhi ya nywele za kichwa changu na ndevu zangu, nami nikaketi chini kwa mshtuko.
-