-
Nehemia 2:9Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
9 Mwishowe nikafika kwa magavana wa eneo lililo Ng’ambo ya Mto na kuwapa barua za mfalme. Pia, mfalme alinipa wakuu wa jeshi na wapanda farasi.
-