-
Nehemia 2:12Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
12 Nikaondoka usiku, mimi pamoja na wanaume wachache, nami sikumwambia mtu yeyote mambo ambayo Mungu wangu alikuwa ameweka moyoni mwangu ili nilifanyie jiji la Yerusalemu, wala sikuwa na mnyama mwingine ila mnyama aliyenibeba.
-