- 
	                        
            
            Nehemia 3:12Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
 - 
                            
- 
                                        
12 Sehemu iliyofuata ilirekebishwa na Shalumu mwana wa Haloheshi, mkuu wa nusu ya wilaya ya Yerusalemu, pamoja na mabinti zake.
 
 -