-
Nehemia 5:12Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
12 Ndipo wakasema: “Tutawarudishia vitu hivyo bila kuwadai chochote. Tutafanya sawasawa na ulivyotuagiza.” Basi nikawaita makuhani na kuwaapisha wanaume hao ili watimize ahadi hiyo.
-