Nehemia 9:6 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 6 “Wewe peke yako ndiye Yehova;+ uliumba mbingu, naam, mbingu za mbingu na jeshi lake lote, dunia na vyote vilivyo juu yake, bahari na vyote vilivyomo. Nawe unavihifadhi vyote hai, na jeshi la mbinguni linakuinamia wewe. Nehemia Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 9:6 Ufahamu, Mnara wa Mlinzi,10/15/2013, uku. 23
6 “Wewe peke yako ndiye Yehova;+ uliumba mbingu, naam, mbingu za mbingu na jeshi lake lote, dunia na vyote vilivyo juu yake, bahari na vyote vilivyomo. Nawe unavihifadhi vyote hai, na jeshi la mbinguni linakuinamia wewe.