- 
	                        
            
            Nehemia 12:40Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
- 
                            - 
                                        40 Mwishowe yale makundi mawili yaliyoimba nyimbo za shukrani yakasimama mbele ya nyumba ya Mungu wa kweli; mimi pia nikasimama pamoja na nusu ya watawala wasaidizi waliokuwa pamoja nami, 
 
-