-
Nehemia 13:21Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
21 Ndipo nikawaonya na kuwaambia: “Kwa nini mnalala mbele ya ukuta usiku? Mkifanya hivyo tena, nitawaondoa kwa nguvu.” Tangu wakati huo hawakuja tena siku ya Sabato.
-