-
Esta 1:6Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
6 Kulikuwa na vitambaa vya kitani, pamba bora, na vitambaa vya bluu vilivyofungwa kwa kamba za kitambaa laini, sufu ya zambarau iliyofungwa kwa pete za fedha, nguzo za marumaru, na makochi ya dhahabu na fedha kwenye sakafu ya mawe mekundu, lulu, na marumaru nyeupe na nyeusi.
-