Esta 1:10 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 10 Siku ya saba, moyo wa mfalme ulipokuwa umechangamka kwa sababu ya divai, akawaambia Mehumani, Biztha, Harbona,+ Bigtha, Abagtha, Zethari, na Karkasi, maofisa saba wa makao ya mfalme waliokuwa wahudumu wake binafsi,
10 Siku ya saba, moyo wa mfalme ulipokuwa umechangamka kwa sababu ya divai, akawaambia Mehumani, Biztha, Harbona,+ Bigtha, Abagtha, Zethari, na Karkasi, maofisa saba wa makao ya mfalme waliokuwa wahudumu wake binafsi,