Esta 1:16 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 16 Ndipo Memukani akajibu hivi mbele ya mfalme na wakuu: “Malkia Vashti hajamkosea mfalme peke yake,+ bali pia amewakosea wakuu wote na watu wote walio katika mikoa yote ya* Mfalme Ahasuero.
16 Ndipo Memukani akajibu hivi mbele ya mfalme na wakuu: “Malkia Vashti hajamkosea mfalme peke yake,+ bali pia amewakosea wakuu wote na watu wote walio katika mikoa yote ya* Mfalme Ahasuero.