-
Esta 1:17Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
17 Kwa maana jambo alilofanya malkia litajulikana kwa wanawake wote walioolewa, nao watawadharau waume zao wakisema, ‘Mfalme Ahasuero aliamuru Malkia Vashti aletwe mbele yake, lakini akakataa kuja.’
-