-
Esta 2:9Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
9 Basi msichana huyo alimpendeza Hegai na kupata upendeleo wake,* basi Hegai akapanga mara moja arembeshwe*+ na kupewa chakula cha pekee, pia akampa wasichana saba waliochaguliwa kutoka kwa nyumba ya mfalme. Vilevile akamhamisha Esta na wale wasichana na kuwapeleka mahali bora zaidi katika nyumba hiyo ya wanawake.*
-