-
Esta 2:21Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
21 Siku hizo Mordekai alipokuwa akiketi katika lango la mfalme, Bigthani na Tereshi, maofisa wawili wa makao ya mfalme, walinzi wa milango, walikasirika na kupanga njama ya kumuua Mfalme Ahasuero.
-