8 Kisha Hamani akamwambia Mfalme Ahasuero: “Kuna watu fulani waliotawanyika na kusambaa kati ya watu+ katika mikoa yote ya milki yako,+ ambao sheria zao ni tofauti na za watu wengine wote, nao hawatii sheria za mfalme, na wakiachwa watamletea mfalme hasara.