-
Esta 4:4Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
4 Watumishi wa kike na matowashi wa Esta walipokuja na kumwambia habari hiyo, Malkia alifadhaika sana. Akaagiza Mordekai apelekewe mavazi ili avae badala ya nguo za magunia, lakini Mordekai akayakataa.
-