-
Esta 4:5Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
5 Ndipo Esta akamwita Hathaki, mmoja wa matowashi wa mfalme, aliyechaguliwa na mfalme kumhudumia Esta, naye akamwagiza amuulize Mordekai maana ya jambo hilo na kilichokuwa kikiendelea.
-