Esta 5:1 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 5 Siku ya tatu+ Esta akavaa mavazi yake ya kifalme na kusimama katika ua wa ndani wa nyumba ya* mfalme, sehemu iliyotazamana na nyumba ya mfalme, naye mfalme alikuwa ameketi kwenye kiti chake cha ufalme ndani ya nyumba ya mfalme akitazama langoni. Esta Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012 5:1 w12 1/1 24; w11 10/1 18 Esta Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 5:1 Igeni, kur. 125, 135 Mnara wa Mlinzi,1/1/2012, uku. 2410/1/2011, uku. 18
5 Siku ya tatu+ Esta akavaa mavazi yake ya kifalme na kusimama katika ua wa ndani wa nyumba ya* mfalme, sehemu iliyotazamana na nyumba ya mfalme, naye mfalme alikuwa ameketi kwenye kiti chake cha ufalme ndani ya nyumba ya mfalme akitazama langoni.